SIMIYU – Dirisha la maombi ya udahili kwa September Intake – 2021/2022


Dirisha la maombi ya udahili kwa September Intake – 2021/2022 limefunguliwa.
Karibu CHUO CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI SIMIYU (SICHAS).

Kozi tunazotoa kwa ngazi ya cheti na diploma ni DIPLOMA IN PHARMACEUTICAL SCIENCES

Kujaza form ya maombi fungua link ifuatayo
Hii ni link ambayo ukiwa na internet ukaifungua utapata application form za kujiunga katika kozi mbalimbali kwenye CHUO CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI SIMIYU (SICHAS) kwa mkupuo wa Septemba. Maombi ni sasa mpaka August 14, 2021.

Kufanya Maombi kwa njia ya mtandao fungua link ifuatayo:
APPLY NOW (https://sichas.ac.tz/simais)

Kupata fomu ya kujaza na kuituma kwa njia ya barua pepe (sichas.health@gmail.com) fungua link ifuatayo: APPLICATION_FORM_SICHAS

JINSI YA KUFIKA SICHAS:
Kututembelea SICHAS tupo Somanda – Bariadi Town Council, Simiyu, 4km toka Bariadi Town hospital (HOSPITALI YA SOMANDA) pembezoni mwa barabara ya Bariadi-Mwanza, karibu na Magereza ya Bariadi.

Kwa maelezo zaidi, Piga namba
0754874289
0785897282
0757190645 au
0757852473

Karibu sana