News, Updates & Events


Maombi ya Udahili Vyuo vya Afya 2023/24

Dirisha la maombi ya udahili kwa mwaka wa masomo 2023/2024 limefunguliwa. Unaweza kuomba kujiunga na chuo moja kwa moja kwa kujaza fomu inayopatikana hapa: APPLICATION FORM SICHAS Pia, Unaweza kuomba kujiunga na chuo moja kwa moja kwa kujaza fomu inayopatikana kwenye mfumo wa udahili wa NACTVET kupitia tovuti ya (https://www.nacte.go.tz), Tafuta sehemu inayohusiana na udahili au Maombi ya Udahili Vyuo […]

Read more

SIMIYU – Dirisha la maombi ya udahili kwa September Intake – 2021/2022

Dirisha la maombi ya udahili kwa September Intake – 2021/2022 limefunguliwa. Karibu CHUO CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI SIMIYU (SICHAS). Kozi tunazotoa kwa ngazi ya cheti na diploma ni DIPLOMA IN PHARMACEUTICAL SCIENCES Kujaza form ya maombi fungua link ifuatayo Hii ni link ambayo ukiwa na internet ukaifungua utapata application form za kujiunga katika kozi […]

Read more