Maombi ya Udahili Vyuo vya Afya 2023/24


Dirisha la maombi ya udahili kwa mwaka wa masomo 2023/2024 limefunguliwa.

Unaweza kuomba kujiunga na chuo moja kwa moja kwa kujaza fomu inayopatikana hapa: APPLICATION FORM SICHAS

Pia, Unaweza kuomba kujiunga na chuo moja kwa moja kwa kujaza fomu inayopatikana kwenye mfumo wa udahili wa NACTVET kupitia tovuti ya (https://www.nacte.go.tz), Tafuta sehemu inayohusiana na udahili au Maombi ya Udahili Vyuo vya Afya 2023 kwenye tovuti ya NACTVET na fuata maelekezo yaliyopo ili kujaza fomu ya maombi.

Hakikisha unakamilisha sehemu zote zinazohitajika na unachagua chuo chako Simiyu College of Health and Allied Sciences (SICHAS).